top of page

Electonics & General Supplies

Ask for our Free delivery service of our products!
Njoo unionee mwenyewe
Ulizia huduma bure ya kukupelekea vifaa vyako nyumbani kutegemea na ukubwa wa mzigo ulionunua!

Taa za Marembo / Chandalia 

 
 

Feni imara na Pasi

Taa za Uani/Bustani

For More Pictures of our Electronics Products click here.

 

 

WELCOME TO CSIAMOO COMPANY

 

We are proud to provide you with a high quality and genuine Electronics products. We have a fee delivery service for your order. We have installation service of our products and our products are known for their durability and quality. Welcome to visit, inquire, and buy our products. We assure you, you will never regret.

 

 

 

KARIBU SANA KWENYE KAMPUNI YA CSIAMOO

Tunayo heshima ya kukupa huduma ya vifaa vya umeme na Electronics kutoka kwa wataalam waliobobea vilivyotengenezewa Uingereza na Australia. Tunatoa huduma ya kukufikishia vitu vyako nyumbani kutegemea na ukubwa na mzigo unaonunua. Tunao mafundi kwa kukuwekea vitu hivyo nyumbani. Tunafahamika kwa ubora na udumifu wa vifaa vetu. Karibu sana ututembelee kuangalia, kuulizia na kununua bidhaa zetu. Tunakuhakikishia utaridhika na huduma zetu na hautajuta kamwe.

 

Solution You can Trust For Your Home & Office

In God we Begin, we Continue and Triumph, Thanks be to God 
bottom of page